Waziri mkuu wa
Pakistan, Nawaz Sharif amejiuzulu baada ya uamuzi wa mahakama wa kumzuia
kushika wadhifa wa serikali kufuatia uchunguzi wa madai ya ufisadi.
Bwana Sharif mara kwa mara amekana kufanya lolote baya. Amri hiyo ilitolewa na jopo la majaji watano.
Mahakama ilifurika siku ya Ijumaa na usalama zaidi ukawekwa kwenye mji mkuu, huku maelfu ya wanajeshi na polisi wakitumwa.
Mahakama kuamua hatima ya Waziri Mkuu Pakistan Mabinti wa marais wenye ushawishi kama baba zao
Waziri wa mambo ya ndani nchini Pakistan Chaudhry Nisar Ali Khan, alimshauri Bwana Sharif kukubali uamuzi wa leo.
Mahakama imependekeza kufanyika kesi za ufisadi dhidi ya watu kadhaa akiwemo Bwana Sharif, mtoto wake wa kike Maryam na mumewe Safdar, waziri wa fedha Ishaq Dar na wengine kadhaa.
Hakuna waziri mkuu wa Pakistan aliye raia ashawai kumaliza kipindi chake cha miaka mitano.
Waziri mkuu wa
Pakistan Nawaz Sharif amejiuzulu baada ya uamuzi wa mahakama wa kumzuia
kushika wadhifa wa serikali kufuatia uchunguzi wa madai ya ufisadi.
Bwana Sharif mara kwa mara amekana kufanya lolote baya. Amri hiyo ilitolewa na jopo la majaji watano.
Mahakama ilifurika siku ya Ijumaa na usalama zaidi ukawekwa kwenye mji mkuu, huku maelfu ya wanajeshi na polisi wakitumwa. Mahakama kuamua hatima ya Waziri Mkuu Pakistan Mabinti wa marais wenye ushawishi kama baba zao
Waziri wa mambo ya ndani nchini Pakistan Chaudhry Nisar Ali Khan, alimshauri Bwana Sharif kukubali uamuzi wa leo.
Mahakama imependekeza kufanyika kesi za ufisadi dhidi ya watu kadhaa akiwemo Bwana Sharif, mtoto wake wa kike Maryam na mumewe Safdar, waziri wa fedha Ishaq Dar na wengine kadhaa.
Hakuna waziri mkuu wa Pakistan aliye raia ashawai kumaliza kipindi chake cha miaka mitano.
SHARE
No comments:
Post a Comment