Urusi ipo tayari
kuwatimua wanadiplomasia 30 wa Marekani na kutwa mali ya Marekani kujibu
vikwazo vya Marekani, kwa mujibu wa maafisa wa Urusi.
Mwezi Disemba utawala wa Obama uliwatimua wanadiplomasia 35 wa Urusi na kufunga makao mawili ya kijasusi.
- Rais Putin: Nimeimarisha uhusiano wangu na Trump
- Trump na Putin wajadiliana kuhusu udukuzi wa uchaguzi wa Marekani
- Trump: Putin alikana kuingilia uchaguzi wa Marekani
- Trump na Putin kupunguza migogoro duniani
Urusi tayarai iko chini ya vikwazo vya Marekani.
Timu ya Trumo hayo iko chini ya uchunguzi kufuatia madai ya Urusi kuingia kati kampeni ya mwaka uliopita. Hata hivyo Urusi imekana madai hayo.
SHARE
No comments:
Post a Comment