Naibu
Waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medard Kalemani anawaalika wananchi
katika halfa ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa bomba la mafuta
ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga, Tanzania.
Uzinduzi
huo unatarajiwa kufanyika Agosti 5, 2017 eneo la Chongoleani jijini
Tanga ambapo utahudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri
Museveni.
UDUGU WETU, FAHARI YETU - BOMBA LETU KWA MAENDELEO YA WATU WETU
SHARE
No comments:
Post a Comment