RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (katikati) alipokuwa akikata
utepe kuzindua Tawi la Benki ya RCDB katika Mji wa Chake chake Pemba
leo,(kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid
Abdalla,akifuatatiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa CRDB
Bw.Ally Hussein Laay wengine (kulia) Mkugenzi Mtendaji wa CRDB
Dr.Charles Kimei,[Picha na Ikulu.]
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akipeana mkono wa
shukuranmi na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa CRDB Bw.Ally Hussein
Laay mara baada ya kuzindua Tawi la Benki ya RCDB katika Mji wa Chake
chake Pemba leo,[Picha na Ikulu.]
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (katikati) akitia saini
kitabu cha wageni alipotembelea katika Ofisi za Benki ya RCDB baada ya
kiuzindua rasmi leo (kulia) Meneja wa Tawi la CRDB Chake chake Pemba
Nd,Hamadi Abubakar na (kushoto) Waziri wa Ardhi,Maji,Nishati na
Mazingira poia akiwa kaimu Waziri wa Fedha na Mipango Salama Aboud
Twalib,[Picha na Ikulu.]
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein na Meneja wa Tawi la CRDB
Chake chake Pemba Nd,Hamadi Abubakar (katikati) pamoja na Viongozi
wengine na Wafanyakazi wa Benki hiyo wakiwa katika picha ya pamoja baada
ya uzinduzi wa Tawi la Benki ya RCDB katika Mji wa Chake chake Pemba
uliofanyika leo,[Picha na Ikulu.]
SHARE
No comments:
Post a Comment