Kamishna
waVibali na Pasi nchini, Musanga Etimba akitoa maelezo kwa mwananchi Oliver
Gabriel, aliyetembelea Banda la Idara ya Uhamiaji katika Maonesho ya 41 ya Biashara
ya Kimataifa ya Dar es Salaam yoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara
ya Kilwa,jijini Dar es Salaam. (PICHANA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI)
Mrakibu
Msaidizi wa Idara ya Uhamiaji, Kitengo cha Uhusiano, Aziz Kirondomara
(kushoto), akitoa huduma kwa mwananchi aliyetembelea Banda la Idara hiyo katika
Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu
Nyerere barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.
Mkaguzi wa Idara ya Uhamiaji nchini, Mustafa Kipingu (kushoto), akitoa huduma kwa mwananchi aliyetembelea Banda la Idara hiyo katika Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenyeViwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam
SHARE
No comments:
Post a Comment