TRA

TRA

Saturday, July 29, 2017

LWANDAMINA AMPA VITU VIPYA AJIBU

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Kocha George ‘Chicken” Lwandamina ameamua kumpa mazoezi ya ziada mshambuliaji wake mpya, Ibrahim Ajib.
Lwandamina ameamua kuhakikisha Ajibu anakuwa fiti katika kiwango kinachoweza kumfanya atimize majukumu atakayompa.
“Lwandamina amegundua Ajibu ni mchezaji mwenye kipaji sana lakini hayuko fiti kama anavyotaka, hivyo ameamua kulifanyia kazi hilo,” kilieleza chanzo. Yanga ipo kambini mjini Morogoro ambako inajiandaa na msimu mpya wa 2017-18.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger