TRA

TRA

Monday, July 31, 2017

WENZETU WAPO MBALI KWELI. ANGALIA WALIVYOOKOLEWA

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !




 Watu kadhaa waokolewa baada ya magari ya angani kugongana


Watu kadhaa wamekwama hewani baada ya gari la angani la kutumia nyaya kugonga nguzo na kusimama juu wa mto Rhine nchini Ujerumani.

Wazima moto na makundi ya waokoaji mjini Cologne walitumia kreni kuwafikia abiria 75 waliokuwa wamekwama baadhi ambao waliripotiwa kuwa umbalia wa hadi mita 40 angani.

 Picha zilionyesha watoto wakishushwa ardhini lakini hakuna majeruhi walioripotiwa.  Magari yote 32 yaliyokuwa yakihudumu wakati huo yalisimama wakati ajali ilitokea. 



Wazima moto na makundi ya waokoaji mjini Cologne walitumia kreni kuwafikia abiria 75 waliokuwa wamekwama.

CHANZO:BBC

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger